(SIRI) Wewe sio huo mwili, huo mwili ni wako!

Je ushawahi kujiuliza wewe ni nani?, ngoja nikupe siri, Karibu vyote unavyofikiria hivyo sio wewe! wewe sio cheo chako, wewe sio kazi yako...
Read More

ANZA KUUTAFUTA UTU WAKO WA NDANI WA KIROHO KWANI UNA MAJIBU YOTE

Binadamu kaupigisha usingizi utu wake wa ndani, utu wake wa kale, Umezimika kabaki kama nyumba isiyo na taa. Giza totoro moyoni mwake hamn...
Read More

SAFARI YA KUURUDIA UTU WAKO WA NDANI HUPELEKEA KUONANA NA MUUMBAJI WAKO!

Mara ya mwisho kuingia au kuzama ndani yako ilikua lini?. Ili unielewe ngoja Nikuibie siri ya mambo yajayo, Baada ya vita ya tatu ya duni...
Read More

(SIRI) FANYA HIVI KISHA MAPUNGUFU YOTE ULIYONAYO YATAPOTEA YENYEWE.

Jipende asilimia mia moja (100%) haijalishi watu wanasemaje kuhusu wewe. Haijalishi dini zinasemaje kuhusu wewe. Haijalishi unajiona una m...
Read More

(HATARI! KUWA MAKINI) HIVI NDIVYO MAWAZO YAKO YANAVYOUMBA.

KANUNI YA UVUTANO Siri hii imefichwa kwa miaka mingi na watu wachache, labda kwa tamaa ya kutawala wengine, Lakini sasa leo hii naiweka w...
Read More

(SIRI) HII NDIO SABABU YA WEWE KUTOFANIKIWA KIMAISHA!

Unamuamini Aliekuweka Hapa Duniani?  Watu Wengi Hawamuamini hivyo wameshindwa kuyaelewa na kuyaamini maisha pia. Wengi wanaishi mai...
Read More

(SIRI) Miujiza iletwayo na tabia ya kushukuru hii hapa !

Mara Ya Mwisho Kushukuru Ilikua Lini? Ngoja Nkupe Siri. Kila siku Kabla Hujainuka Kitandani emu Jikague Kuanzia Utosini Hadi Kwenye Nyayo...
Read More

(SIRI) HII NDIO MIUJIZA ILETWAYO KWA KUWA NA FURAHA TU !

Mara Ya Mwisho Kufurahi ilikua lini? ngoja nikupe SIRI emu kila siku chagua kua na furaha bila kujali hali na mazingira uliyonayo. Siri ...
Read More