(SIRI) HII NDIO SABABU YA WEWE KUTOFANIKIWA KIMAISHA!



Unamuamini Aliekuweka Hapa Duniani? 
Watu Wengi Hawamuamini hivyo wameshindwa kuyaelewa na kuyaamini maisha pia. Wengi wanaishi maisha serious hali inayopelekea kuumia. yaani hawashukuru kwa kila jambo, yanapowatokea mabaya wanalaumu bila kujua lile lililotokea ni Muumbaji kakusudia ili kuwaepusha na janga fulani baya zaidi. 

Hawajui kua Muumbaji anaweza kumuingza mtu kwenye shida ili kumuandaa kupokea jambo fulani kubwa na zuri zaidi. kama dhahabu ipitavyo motoni ili ing'ae. 
Hivyo ndugu yangu tujifunze kuishi kwa furaha haijalishi muda huu unapitia changamoto gani , kwani yupo anaetusimamia alieamua tuwepo hapa.  shukuru kwa kila jambo, kua mvumilivu iamini Hekima ya uwepo wake, Halafu  utashangazwa na matokeo .  

#ChooseHappy
#SelfRealization
#AmkaUangaze
#LawOfAttraction
#Spirituarity

Share on Google Plus

About Unknown

NyangeTech inahamasisha maelfu na maelfu ya watu kujitambua kuelekea safari ya kuangaziwa ili kupata utulivu wa nafsi kwa kupata muunganiko na Mungu.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment