(SIRI) Miujiza iletwayo na tabia ya kushukuru hii hapa !

Mara Ya Mwisho Kushukuru Ilikua Lini?
Ngoja Nkupe Siri. Kila siku Kabla Hujainuka Kitandani emu Jikague Kuanzia Utosini Hadi Kwenye Nyayo Za Miguu. Kisha Shukuru Kwa Kila Kitu.

Shukuru Kwaajili Yaa Ubongo Usio Na Maradhi, Shukuru Kwaajili Ya Macho Yasiyo Na Tatizo, Kwaajili Ya Masikio, Kwaajili Ya Sura Nzuri, Kwaajili Ya Meno Imara. Kwaajili Ya Kila Kiungo Nje Na Ndani Ya Mwili.

Huitaji Kutamka Bali Hisia Za Furaha Na Shukrani Zinatosha kuzipitisha Kwa Kila Kiungo. Ukijizoesha kufanya Hivyo Utakua Hai Mara Mbili Ya Ulivyo, Utakua Na Afya Mara Elfu Ya Afya Ya Sasa. Sababu shukrani siku zote huchokoza mitetemo na masafa ya kimbingu, Watu wasioelewa Watakuita Mchawi. Maana maisha yanapoingiliwa Na chaneli za kimbingu hayabaki yalivyokua. Naam, Pepo au paradiso yako Inaanzia hapahapa duniani.

#HeavenOnPlanet
#ChooseHappy
#SelfRealization
#AmkaUangaze
#Spirituality
Share on Google Plus

About Unknown

NyangeTech inahamasisha maelfu na maelfu ya watu kujitambua kuelekea safari ya kuangaziwa ili kupata utulivu wa nafsi kwa kupata muunganiko na Mungu.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment