Habari za siku ndugu zangu, napenda kuwataarifu kubadilisha matumizi ya blog hii kutoka masuala ya teknolojia ya mawasiliano kwenda kua blog ihusuyo masuala ya kujitambua.
Blog hii ilianza rasmi mnamo mwezi wa 9 tarehe 8 mwaka 2013. ikiwa inahusu habari za kiteknolojia tu.
Sasa itahama kutokja masuala hayo na kuanza kutumika rasmi kama blog inayohamasisha maelfu ya watu kujitambua kiakilli, kimwili, na kiroho.
Asanteni.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💜💜💜💜💜
0 comments:
Post a Comment